Staa wa zamani Simba, Yanga Alphonse Modest afariki dunia Staa wa zamani wa Simba na Yanga, Alphonce Modest amefariki dunia leo jioni, akiwa nyumbani kwao Kigoma baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
Guardiola: Huyu Cherki anajua sana KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola akiri amekuwa akikoshwa sana na mchango unaofanywa na staa wake mpya, Rayan Cherki katika kikosi hicho cha Etihad.
Kocha Liverpool bado anamtetea Wirtz KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amemtetea kiungo wake ghali Florian Wirtz baada ya kushambuliwa sana kutokana na kuanza maisha yake Anfield kwa kasi hafifu.
Staa wa zamani Simba, Yanga Alphonse Modest afariki dunia Staa wa zamani wa Simba na Yanga, Alphonce Modest amefariki dunia leo jioni, akiwa nyumbani kwao Kigoma baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
Mtoto wa Mjini - 9 Maafisa wa uhamiaji walikuwa ni wanaume watupu walionekana kuwa makini sana, walimchukua Muddy hadi katika chumba maalumu kwa ajili ya mahojiano wakitaka kujua undani wa safari yake kuja Uholanzi...
Kocha ataja kinachoitesa Mlandege Ligi Kuu Zanzibar BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Mlandege, imeonekana kuteseka katika ligi hiyo baada ya kucheza mechi nne bila ya ushindi wala kufunga bao msimu huu wa 2025-2026.
Kadi nyekundu zatawala KVZ ikiitandika KMKM TIMU ya KVZ, imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMKM katika mechi ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) iliyochezwa Oktoba 7, 2025 kwenye uwanja wa Mao A uliopo Unguja, huku timu zote zikiambulia...
Chama, Aucho waongeza mzuka Singida Black Stars wakitua Airpot, Gamondi, Massanza wafichua figisu za Burundi!
Dah! Singida Black Stars yapiga tizi la kibabe kuwakabili wapinzani Burundi, mastaa wafichua balaa la gamondi
Nairobi United yawazima mabingwa wa zamani wa CAF WAWAKILISHI wa Kenya katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Nairobi United jioni hii imewaduwaza mabingwa wa zamani wa Afrika, Etoile du Sahel ya Tunisia kwa kuichapa mabao 2-0.
Barca, Real Madrid mguu sawa kwa Marc Guehi BARCELONA na Real Madrid zinafuatilia kwa karibu suala la beki wa kati wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England, Marc Guehi, 25, ambaye ameonyesha nia ya kutosaini mkataba mpya wakati ule wa...