Sakata la uteuzi mgombea urais ACT- Wazalendo latua mahakamani Chama cha ACT-Wazalendo kimefungua shauri la maombi kuhusiana na uteuzi wa mgombea wake wa nafasi ya urais, Luhaga Mpina, baada ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kumzuia kurejesha fomu...
Msajili atengua uteuzi wa wagombea urais ACT-Wazalendo, ADC Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi wa wagombea wawili wa urais wa Tanzania, Luhaga Mpina wa ACT-Wazalendo na Wilson Elias wa ADC, kwa madai ya ukiukwaji wa...
PRIME Mchakamchaka waanza urais, wagombea 17 wapewa magari Vyama 17 kati ya 18 vimetimiza masharti ya kuanza safari ya kuisaka Ikulu kupitia sanduku la kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano ya Oktoba 29, 2025.
Mwili waopolewa mtaroni Jangwani Mwili wa mtu mmoja umeonekana asubuhi ukielea majini kwenye mtaro uliopo Jangwani, jirani na kilipokuwa kituo cha mabasi ya mwendokasi.
ACT-Wazalendo: Hatutateua mwingine, Mpina anatosha Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Omar Issa Shaaban amesema chama hicho hakiwezi kuteua mgombea mwingine zaidi ya Luhaga Mpina kuwanaia urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu...
Watano wafariki ajalini Tunduma, watatu wajeruhiwa Watu watano wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari la kubeba abiria aina ya Toyota Hiace na gari la mizigo katika eneo la Chapwa, Halmashauri ya Mji wa...
Chuo cha FDC chaonyesha faida za miaka minne ya kutumia nishati safi Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mamtukuna (FDC) wilayani Rombo ni miongoni mwa taasisi zinazotekeleza mkakati wa Serikali wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, hatua inayolenga...
Rais Mwinyi afafanua ongezeko la usawa wa kijinsia Zanzibar Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Zanzibar imepiga hatua katika masuala ya usawa wa kijinsia kuanzia kwenye sera na sheria zilizopo.
Sakata la uteuzi mgombea urais ACT- Wazalendo latua mahakamani Chama cha ACT-Wazalendo kimefungua shauri la maombi kuhusiana na uteuzi wa mgombea wake wa nafasi ya urais, Luhaga Mpina, baada ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kumzuia kurejesha fomu...
Dk Mpango aipongeza CRDB kuwezesha wananchi kiuchumi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Philip Mpango, ameipongeza Benki ya CRDB kwa mchango wake mkubwa katika kuimarisha huduma za kifedha nchini, hatua inayowezesha wananchi...
Saka kuiwahi Man City Ligi Kuu England Bukayo Saka anakimbizana na muda ili kupona haraka kwa ajili ya kulitumikia chama lake la Arsenal kwenye mechi ya kibabe dhidi ya Manchester City, mwezi ujao.
Zuchu kinara fainali CHAN 2024 Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuchu ndio msanii kinara 'Headliner' atayetumbuiza katika Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024, inayotarajiwa kufanyika nchini...
PRIME UCHAMBUZI WA MALOTO: CUF na tiketi ya kwanza ya urais kando ya Profesa Lipumba Chama cha Wananchi (CUF), kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, kimeweka matumaini yao ya mapambano ya kisiasa kwenye mabega ya Gombo Samandito Gombo. Yeye ndiye mgombea urais. Mgombea mwenza wake ni...
Dira ya 2050 ndani ya jicho la wadau wa elimu Andiko la Dira 2050 nguzo ya pili, linataja matarajio kadhaa yanayolenga mwishowe kuwezesha uwezo wa watu na maendeleo ya jamii.